#Local News

AJIRA UGHAIBUNI: MUTUA ADAIWA KUIPENDELEA JAMII YAKE

Waziri wa leba Alfred Mutua amekiri kuwepo kwa changamoto kama vile za kiafya ambazo zimewafanya wengi wa wakenya waliosajiliwa chini ya mpangowa ajira ughaibuni kukosa nafasi hizo.

Akizungumza lipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu masuala ya wakenya wanaoishi ughaibuni, Mutua ametakiwa kuweka wazi orodha halali ya mashirika yanayoendeleza shughuli za ajira ughaibuni na idadi ya wakenya ambao tayari wamesafiri.

Kamati hiyo aidha imeibua hofu kuhusu madai ya waziri Mutua kuwapendelea wakazi wa eneo moja katika utoaji wa ajira za ughaibuni.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

AJIRA UGHAIBUNI: MUTUA ADAIWA KUIPENDELEA JAMII YAKE

KUNA UFADHILI WA KUTOSHA, OGAMBA

AJIRA UGHAIBUNI: MUTUA ADAIWA KUIPENDELEA JAMII YAKE

EACC YAMNASA CHIFU KAKAMEGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *