#Local News

MACHO YOTE IPOA BAADA YA KUMHOJI DIG LAGAT

Wakenya wanasubiri kuona ni hatua gani ambayo mamlaka ya kuchunguza mienendo ya maafisa wa polisi IPOA itamchukulia naibu inspekta mkuu wa polisi aliyejiondoa kwa muda Eliud Lagat baada yake kuandikisha taarifa na mamlaka hiyo kuhusu kifo cha mwalimu na bloga Albert Ojwang.

Licha ya maelezo yake kutowekwa wazi, taarifa zimearifu kuwa Lagat alihojiwa kwa saa kadhaa, akitakiwa kuwafahamisha wachunguzi kilichojiri baada yake kuwasilisha malalamishi ya kuchafuliwa jina na Ojwang kabla ya kukamatwa na kufariki.

Lagat ni afisa wa kwanza wa cheo chake kuchunguzwa kuhusiana na mauaji.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

MACHO YOTE IPOA BAADA YA KUMHOJI DIG LAGAT

MSWADA WA FEDHA: KIPENGEE TATA CHATEMWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *