MAAFISA 37 WA POLISI WAHUKUMIWA KWA UKATILI

Waathiriwa wa ukatili unaotekelezwa na maafisa wa polisi wameanza kupata haki, huku maafisa 37 wa polisi wakihukumiwa na kutumikia vifungo mbalimbali gerezani.
Kulingana na mwenyekiti wa Tume ya Kutathmini Utendakazi wa Polisi, Issack Hassan, jumla ya kesi 267 dhidi ya polisi zimewasilishwa kwa tume hiyo, ambapo 106 kati ya hizo tayari zimekamilishwa mahakamani.
Imetayarishwa na Janice Marete