#Local News

TUZUNGUMZIANE, GAVANA NDETI

Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti ametoa wito kwa viongozi kuzungumziana badala ya kulumbana kwenye mikutano ya hadhara, akisema mienendo yao inatoa mfano mbaya kwa umma.

Gavana huyo amewataka walio na tofauti za kisiasa kuheshimiana ili kudhibiti mihemko ya kisiasa miongoni mwa wananchi.

Aidha, amesema majibizano kati ya naibu rais Rigathi Gachagua na wanaompinga hayaleti picha nzuri kwa taifa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

TUZUNGUMZIANE, GAVANA NDETI

WATAENDA WOTE, SENETA MAANZO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *