#Local News

HATMA YA MUTAI YAANZA LEO SENETI

Macho yote yameelekezwa kwa bunge la seneti hii leo ambalo limeratibiwa kuanza vikao vya siku 3 vya kusikiliza na kuamua hoja ya kumbandua kutoka mamlakani gavana wa Kericho Erick Mutai kuhusiana na tuhuma za ukiukaji wa katiba, matumizi mabaya ya afisi na ubadhirifu wa raslimali za kaunti.

Katika juhudi za kuhakikisha Mutai anaelekea nyumbani, bunge la kaunti hiyo limeteua kikosi cha mawakili 12, kinachoongozwa na wakili tajika Elisha Ongoya.

Kwa upande wake, gavana Mutai atategemea kikosi cha mawakili 6 wakiongozwa na Katwa Kigen ili kuokoa hatma yake ya kisiasa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

HATMA YA MUTAI YAANZA LEO SENETI

MIAKA 15 YA KATIBA YAADHIMISHWA

HATMA YA MUTAI YAANZA LEO SENETI

MOROCCO KUKABANA NA MADAGASCAR

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *