KAMISHINA WA TRAFIKI NYAMIRA AWATAKA WAKAAZI KUWA WAANGALIFU BARABARANI
Kamanda wa Trafiki kaunti ya Nyamira Samson Nyamote amewaonya madereva wa magari ya viwanda vya majani chai katika kaunti hiyo dhidi ya kuendesah vibaya magari.
Nyamote amesema sharti madereva wa magari hayo wawe maakini wanapoendesha magari barabarani ili kuepuka ajali za mara kwa mara huku akitoa wito kwa wakaazi kuwa waangalifu zaidi,
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































