RAGA YA VIJANA WA CHINI YA MIAKA 20 YACHARAZWA 25-7

Timu ya Kenya ya Raga ya vijana wa chini ya miaka 20 ilianza mashindano ya dunia ya raga ya vijana wa Under 20 kwa kupoteza ambapo walicharazwa mabao 25-7 dhidi ya mabingwa wa zamani Urugwi jana jumanne.
Hata hivyo kenya ilifanikiwa kupata tri moja ya kujifariji kupitia kwa michael Wamalwa na ni lazima ishinde mechi zilizosalia za kundi B dhidi ya Uholanzi na marekani ili kufuzu kwa robo fainali.
Imetayarishwa na Janice Marete