#Local News

MSHUKIWA WA MAUAJI AZUILIWA KWA SIKU 10

Mahakama ya Kirinyaga imeamuru mshukiwa wa mauaji ya mpenzi wake, Brian Wambugu Mwangi, kuzuiliwa kwa siku kumi kwa uchunguzi zaidi.

Washukiwa wengine wawili pia wamekamatwa kusaidia uchunguzi, huku ikibainika kuwa Nelima, mama wa watoto wawili, alikuwa amehamia Ngurubani kutafuta riziki.

Mwili wa marehemu Grace Nelima, 23, ulipatikana ndani ya tanki la maji taka Machi 15, baada ya kuripotiwa kupotea.

Imetayarishwa na Janice Marete

MSHUKIWA WA MAUAJI AZUILIWA KWA SIKU 10

WAWANIAJI WAJITETEA WAKILENGA IEBC

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *