KUWA MWALIMU NI MWITO
Walimu nchini wamehimizwa kufanya kazi yao kwa ueledi na kuheshimu walimu wakuu Pamoja na washikadau wengine katika sekta ya elimu ili kuimarisha sekta hiyo.
Robert Soita aliyekuwa afisa wa kutathmini ubora wa elimu eneobunge la Webuye magharibi kaunti ya Bungoma kuwa mwalimu ni mwito na hivyo kazi hiyo inapaswa kutekelexzwa kwa ueledi mkubwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































