#Local News

WAZIRI WANDAYI ATETEA ADANI LICHA YA TUHUMA

Waziri wa kawi Opiyo Wandayi ameitetea kampuni ya Adani mbele ya kamati ya kawi katika bunge la kitaifa akisema kandarasi ya serikali kwa kampuni hiyo haina dosari yoyote.

Haya yamejiri wakati ambapo kampuni hiyo inakabiliwa na tuhuma za utoaji rushwa ili kupokea kandarasi ya kawi ya jua nchini India.

Utata umeibuliwa kuhusu kandarasi ya kawi humu nchini iliyotolewa kupitia halmashauri ya KETRACO huku kamati hiyo ikitaka majibu kuhusu makubaliano hayo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

WAZIRI WANDAYI ATETEA ADANI LICHA YA TUHUMA

MIAKA 40 GEREZANI KWA KUMUUA MKEWE NA

WAZIRI WANDAYI ATETEA ADANI LICHA YA TUHUMA

MMOJA AUAWA KIMILILI, NYUMBA ZABOLEWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *