#Local News

KAUNTI KUWEKEWA VIKWAZO KUWAAJIRI MAWAKILI WA KIBINAFSI

Bunge la seneti linapendekeza Serikali za kaunti kuwekewa vikwazo vya kuajiri kampuni za sheria za kibinafsi ili kuziwakilisha mahakamani katika zabuni mpya katika Seneti.

Haya yanajiri huku kukiwa na ufichuzi kuwa vitengo vilivyogatuliwa vimelimbikiza bili zinazosubiri kulipwa za zaidi ya Shilingi bilioni 56 za ada za kisheria pekee, huku Nairobi ikiongoza kwa zaidi ya Shilingi bilioni 21.

Hii ni licha ya kaunti hizo kuwa na idara za sheria, zilizokamilika na wafanyikazi wakiongozwa na mawakili wa kaunti.

Imetayarishwa na Janice Marete

KAUNTI KUWEKEWA VIKWAZO KUWAAJIRI MAWAKILI WA KIBINAFSI

AK YAFANYA MCHUJO WA OLYMPICS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *