#Sports

 KIKOSI CHA TAEKWONDO KENYA CHATAJWA

Wanaspoti 16 wakiwemo wanawake 8 na wanaume 8 wametajwa kwenye kikosi cha mwisho kitakachowakilisha Kenya katika mashindano yanayokuja ya ubingwa wa dunia wa Takekwondo kwa wachezaji wasiozidi umri wa miaka 21, yatakayoandaliwa mwezi Disemba jijini Nairobi.

Miongoni mwao ni Williams Odhiambo, mshindi wa nishani ya shaba katika majaribio ya mwaka jana ingawa hakuchaguliwa katika mashindano ya mwaka jana.

Akizungumza wakati wa majaribio, rais wa shirikisho la Taekwondo Suleiman Sumba, amewahimiza wafadhili kujitokeza kwa wingi kuimarisha mchezo huo kupitia ufadhili wao.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

 KIKOSI CHA TAEKWONDO KENYA CHATAJWA

NAIROBI UNITED WAZIDI KUANGUSHA MIAMBA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *