KINDIKI AMWONYA GACHAGUA DHIDI YA AZIMA YAKE YA UGAVI WA RASLIMALI ZA TAIFA
Waziri wa usalama na maswala ya ndani ya nchi prof Kithure Kindiki amewaonya wanaoendeleza siasa za kupigia debe mfumo wa ugavi wa raslimali za serikali kuzingatia idadi ya watu maarufu one man one vote one shilling.
Kulingana na Kindiki msimamo na semi za aina hiyo zinaweza kusababaisha mgawanyiko na vurugu miongoni mwa wananchi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































