#Local News

HONGERA WABUNGE; DUALE ANAWAAMBIA WABUNGE

Waziri wa Ulinzi Aden Duale amewapongeza Wabunge waliopiga kura kupitisha Mswada tata wa Fedha wa 2024.

Katika taarifa Duale amesema wabunge hao wameonyesha ujasiri kwa kupiga kura ya kupitisha mswada huo kwa manufaa ya wananchi.

Duale ameongeza kuwa kwa sasa anatazamia hatua inayofuata ya Bill huku akibainisha kuwa pamoja na kwamba kuna maoni yaliyogawanyika kuhusu Muswada huo, cha muhimu ni kwamba bunge limefanya kazi yake.

Imetayarishwa na Janice Marete

HONGERA WABUNGE; DUALE ANAWAAMBIA WABUNGE

ERIC OMONDI AKAMATWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *