#International

JESHI LATWAA MADAGASCAR 

Kundi la maafisa wa kijeshi nchini Madagascar limechukua uongozi wa taifa hilo la Kusini mwa Afrika baada ya Rais Andry Rajoelina kubanduliwa na bunge.

Hii ni baada ya Rajoelina aliyedinda kujiuzulu licha ya shinikizo za waandamanaji kuhusu tuhuma za uongozi mbaya na ufisadi, kuelekea mafichoni mapema wiki hii.

Kwa mujibu wa afisa wa jeshi aliyeongoza mapinduzi hayo kanali Michael Randrianirina, jeshi litaongoza taifa hilo kwa miaka 2 kabla ya kuitisha uchaguzi, huku taasisi mbali mbali likiwemo bunge la seneti na mahakama kuu ya kikatiba zikivunjiliwa mbali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

JESHI LATWAA MADAGASCAR 

MGOMO WA WAHADHIRI WAFIKA MAHAKAMANI

JESHI LATWAA MADAGASCAR 

ALIYEKUWA WAZIRI MKUU RAILA AFARIKI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *