#Local News

MUTURI:WAFANYIKAZI WA UMMA HAWANA UELEWA WA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA

Asilimia kubwa ya wafanyikazi wa umma wanaendelea kukumbana na changamoto za ukosefu wa uelewa wa maytumizi ya teknolojia ya mawasiliano ICT.

Waziri wa huduma za umma Justine Muturi akizungumza katika kaunti ya Mombasa amesema kuwa ipo haja ya wafanyikazi wote wa uma kupewa mafunzo kuhusiana na matumizi ya teknolojia ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa umma.

Muturi aidha amezitaka idara mbali mbali za serikali kuhakikisha huduma zao zinapatikana katika vituo vya huduma center.

Imetayarishwa na Janice Marete

MUTURI:WAFANYIKAZI WA UMMA HAWANA UELEWA WA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA

RAIS RUTO APINGA KESI ZA GACHAGUA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *