#Local News

RUTO AAGIZA KUSITISHWA KWA USHIRIKIANO NA ADANI

Wakenya waliokuwa wakipinga kukodishwa kwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa JKIA kwa kampuni ya Adani wana kila sababu ya kutabasamu baada ya Rais William Ruto kuagiza kufutiliwa mbali kwa mikataba ya ushirikiano baina ya serikali na kampuni hiyo.

Akizngumza katika majengo ya bunge wakati wa hotuba yake kwa taifa, Rais ameziagiza wizara za kawi na uchukuzi kusitisha mikataba ya ujenzi wa nguzo za kusambaza nguzu za umeme na usimamizi wa uwanja wa JKIA.

Agizo hilo limejiri muda mfupi baada ya serikali ya Marekani kuihusisha kampuni ya Adani na utoaji rushwa ili ipewe kandarasi nchini India.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO AAGIZA KUSITISHWA KWA USHIRIKIANO NA ADANI

WAHADHIRI, SERIKALI WAKOSA MWAFAKA

RUTO AAGIZA KUSITISHWA KWA USHIRIKIANO NA ADANI

KAUNTI ZAPUNGUZIWA MGAOMGAOKAUNTI ZAPUNGUZIWA MGAO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *