WAZIRI WA AFYA KAUNTI YA TRANSNZOIA AWATAKA VIONGOZI KUTOINGIZA SIASA KATIKA MASWALA YA AFYA
Waziri wa afya wa kaunti ya Transnzoia Sam Ojwang ametoa wito kwa viongozi wa kaunti hiyo kutoingiza siasa katika swala la afya na badala yake kushiriki mazungumzo na uongozi wa kaunti ili kujboresha sekta hiyo.
Kwa mujibu wa Ojwang kushirikian kutahakikiksha kwamba mamlaka ya kusambaza dawa na vifaa vya matibabu KEMSA inasambaza dawa katika vituo vyote vya afya na kwa wakati ufaao.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































