MAAGIZO MAPYA KWA POLISI, LSK IKIVUNA
Maafisa wa polisi wanaotumwa kuwakabili waandamanaji humu nchini watalazimika kuvalia sare rasmi za polisi mbali na kuhakikisha kuwa wanatambuliwa kwa urahisi, ikimaanisha kuwa hawaruhusiwi kuficha nyuso zao kwenye barakoa. Ni uamuzi wa mahakama kuu kufuatia kesi iliyowasilishwa na chama cha wanasheria LSK kutokana na mauaji ya kijana Rex Maasai ambapo LSK ilidai afisa wa polisi […]
English 


































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































