#Local News

SAFARI YA MAAFISA 400 HAITI YANGOA NANGA

Kikosi cha Kenya kitakachoongoza ujumbe wa kimataifa kukabiliana na ghasia za magenge ya Haiti kimeondoka nchini usiku wa kuaamkia leo.

Rais William Ruto ameongoza hafla ya kuwaaga na kuwakabithi bendera maafisa hao katika chuo cha kitaifa  cha polisi kilichoko katika eneo la embakasi jijini Nairobi.

Katika taarifa rais Ruto ameeleza imani yake kwamba maafisa hao wanauwezo wa kurejesha amani nchini Haiti.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *