#Local News

INSPEKTA KOOME NDIYE MHUSIKA MKUU; BABU OWINO

Inspekta mkuu wa polisi Japheth Koome anapaswa kuwajibishwa kuwajibishwa kufuatia kifo cha mmoja wa waandamanaji.

Haya ni kwa mujibu wa mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino ambaye ameongeza kuwa koome anahusika kwa njia moja au nyingine kwa kifo cha Kanyika Masai anayeaminika kupigwa risasi na afisa wa polisi  kwa kuwa alitoa maagizo mbali mbali kwa polisi kuwakabili waandamanaji hao.

Imetayarishwa na Janice Marete

INSPEKTA KOOME NDIYE MHUSIKA MKUU; BABU OWINO

WAHALIFU WAKULIMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *