#Local News

KUCO YALAUMU SERIKALI KUHUSU MGOMO WAO

Katibu mkuu wa chama cha maafisa wa kliniki KUCO George Gibore, amesema serikali haijakuwa tayari kumaliza mgomo wa maafisa hao na kwamba imekuwa ikipuuza matakwa yao.

Akizungumza mjini Kisii amesema licha yao kujitolea kushiriki mazungumzo ya kurejea kazini, magavana wamekuwa wamekuwa wakitoa vijisababu.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KUCO YALAUMU SERIKALI KUHUSU MGOMO WAO

MGOMO WATATIZA UCHUKUZI KIRINYAGA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *