#Local News

MAHOJIANO KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI YAAHIRISHWA

Mahojiano ya majaji wa Mahakama ya Rufa yameahirishwa.

Tume ya Utumishi wa Mahakama imesema kuwa mahojiano hayo ambayo yalipangwa kufanyika kati ya tarehe 3 hadi 20 Juni, yatafanyika kati ya tarehe 18 Juni na 9 Julai

Tume ya Utumishi wa Mahakama iliorodhesha wagombea 41 wa nyadhifa za majaji wa Mahakama ya Rufani mwezi Aprili, ikijumuisha baadhi ya watu mashuhuri na kuacha sehemu ya haki

Kutoka kwa waombaji 82 kwenye gazeti la serikali, baadhi ya watu mashuhuri waliopewa mwanga na JSC ni pamoja na Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Issack Hassan na wakili Katwa Kigen.

Imetayarishwa na Janice Marete

MAHOJIANO KWA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI YAAHIRISHWA

IPOA YACHUNGUZA KIFO CHA MFUNGWA NAIROBI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *