WAKO WAPI WANAFUNZI WA GRADE 10?
Hofu imeibuka kuhusu maelfu ya wanafunzi wa gredi ya 10 ambao hadi sasa hawajaripoti shuleni kwa muhula wa kwanza, serikali ikiagiza ukaguzi kufanywa ili kubaini sababu.
Kulingana na serikali, ni asilimia 60 pekee ya wanafunzi hao walioripoti, sasa kampeni ya nyumba hadi nyumba ikihimizwa ili kuhakikisha asilimia 100 ya mpito.
Muda wa kuwasajili wanafunzi hao umeongezwa hadi Jumatano.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 



































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































