KMPDU YAPENDEKEZA UCHUNGUZI WA MADAI YA UFISADI KATIKA SEKTA YA AFYA KUFANYWA

Muungano wa madaktari nchini Kenya KMPDU unapendekeza uchunguzi wa wazi kufanyika kuhusu madai yaliyoibuliwa ya ufisadi katika sekta ya afya.
Katibu mkuu katika muungano wa KMPDU Dkt Davji Atella ametilia shaka jinsi kandarasi zinavyotolewa kwa kampuni za kigeni ambazo zinalaumiwa kwa kusambaza vifaa duni na kusababisha wizara ya afya kupoteza mamilioni ya fedha.
Imetayarishwa na Janice Marete