HATUA KUBWA YA AFYA MAKUENI
Wakazi wa kaunti ya Makueni wamepata afueni ya kusaka matibabu yanayohusu upasuaji, baada ya madaktari katiika kaunti hiyo kufanikisha upasuaji wa kwanza wa ubongo katika hospitali ya rufaa ya Makueni.
Upasuaji huo ni hatua kubwa katika sekta ya afya, wakazi waliokuwa wakisaka huduma hizo katika hospitali za nje ya nchi wakitarajia kupunguza gharama za usafiri.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































