WAFANYIKAZI WA UMMA WAPATA NYONGEZA YA MISHAHARA
Ni afueni kwa wafanyikazi wa umma baada ya serikali kutoa kima cha shilingi bilioni 1.5 kwa ajili ya kuongezwa mishahara kwao.
Serikali imechukua hatua hiyo kuzuia mgomo ambao wafanyikazi hao walikuwa wametishia kugoma mwishoni mwa mwezi hu una ambao ungeathiri pakubwa huduma mbali mbali za serikali.
Waziri wa huduma za umma Justine Muturi anasema kuwa serikali imetenga fedha za kuanza kutekelezwa kwa awamu ya pili ya mkataba wa maelewano wa 2021-2022 na 2024-2025.
Katibu mkiuu wa wafanyikaziwa umma Tom Odieke amewahakikikshia maslahi8 yao yote yameshughulikmiwa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 












































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































