#Local News

MUTURI ATOA SABABU ZA KUKOSA VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI

Huku tetesi zikiendelea kuibuka kuhusu hatua ya waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi kuendelea kukosa kuhudhuria vikao vya baraza la mawaziri, waziri huyo amejitokeza na kusema kuwa alimwandikia waraka Rais William Ruto amruhusu asiwe akihudhuria vikao hivyo hadi suala la utekaji nyara na mauaji ya kiholela yatakapoorodheshwa kama miongoni mwa ajenda ya vikao hivyo.

Muturi ameyasema haya kwenye mahojiano na runinga moja jana usiku.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MUTURI ATOA SABABU ZA KUKOSA VIKAO VYA BARAZA LA MAWAZIRI

KAGWE AAGIZA KUHARIBIWA KWA MBOLEA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *