#Local News

POLISI ZAIDI WAWASILI HAITI

Operesheni ya kurejesha utulivu nchini Haiti inayoongozwa na polisi wa Kenya imepigwa jeki baada kikosi maalum cha 5 chenye maafisa 230 kuwasili nchini humo hapo jana kujumuika kwenye operesheni hiyo.

Kikosi hicho kiliwasili hapo jana huku maafisa wenginme 100 wakiondoka baada ya kukamilisha muda wao wa kuhudumu, wengine zaidi wakitarajiwa kuondoka baada ya kikosi kipya kufahamishwa mazingira ya operesheni hiyo.

Akizungumza baada ya kuwapokea maafisa hao katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Toussaint Louverture, kamanda wa operesheni hiyo Godfrey Otunge ametaja hatua hiyo kama ishara ya Kenya kujitolea kwenye operesheni hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

POLISI ZAIDI WAWASILI HAITI

TANZANIA YAHARAMISHA MAANDAMANO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *