#Local News

RUTO KUZINDUA NYOTA MACHAKOS

Jumla ya vijana 7,700 katika kaunti za Ukambani ambazo ni Makueni, Machakos na Kitui wameratibiwa kunufaika na fedha za kibiashara za serikali chini ya mradi wa NYOTA, zitakazozinduliwa hii leo mjini Machakos.

Hafla hiyo itaongozwa na Rais William Ruto, shilingi milioni 169 zikitarajiwa kusambazwa kwa vijana hao wenye umri wa kati ya miaka 19-29 huku kila kijana akipokea shilingi 22,000 katika awamu ya kwanza.

Kulingana na naibu kamishna eneo la Mutituni Jane Gichuhi, walengwa watasafirishwa na serikali hadi uwanja wa Kenyatta.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO KUZINDUA NYOTA MACHAKOS

ODM, UDA HURU KUANZA MAZUNGUMZO

RUTO KUZINDUA NYOTA MACHAKOS

SIKU KUBWA UGANDA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *