IDADI YA WALIOFARIKI SABA SABA YAFIKIA 38
Idadi ya watu waliofariki kutokana na vurugu za maandamano ya siku ya saba saba imefikia 38 na wengine 130 wakisalia na majeraha.
Haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na shirika la kutetea haki za kibnadamu linalosema waathiriwa walishambuliwa na wahuni na wengine kupigwa na maafisa wa polisi waliokuwa wametumwa kushika doria.
Watu 8 walifariki katika kaunti ya Kiambu,6 hapa Nairobi,6 kajiado,4 nakuru,3 kirinyaga na wengine watu 3 kaunti ya Muranga miongoni mwa wengine.
Imetayarishwa na Maureen Mukhobe
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































