#Local News

WALIOPORA MALI NA KUHARIBU WATAANDAMWA, ASEMA MURKOMEN

Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen ameonya kuwa waliohusika katika kupanga na waliopora mali wakati wa maandamano ya hapo jana watabeba msalaba wao.

Ameahidi kuhakikisha kuwa walioathirika wakiwemo wanasiasa na maafisa wa serikali na wafanyibiashara wanapata haki.

Murkomen anasisitiza kuwa maandamano ya hapo jana yalikuwa yamepangwa na lengo la kutekeleza uharibifu na kuwa waliofanya hivyo lazima waajibike.

Imetayrishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *