RUTO: REKODI YANGU ITANITETEA
Rais William Ruto amekariri kuwa rekodi yake ya maendeleo inatosha kumrejesha mamlakani kwa muhula wa pili kupitia uchaguzi mkuu ujao, akipuzilia mbali tetesi za upinzani kwamba serikali yake imefeli kutekeleza ahadi alizotoa kabla ya kuchaguliwa.
Kulingana na Ruto, serikali yake iko katika mkondo mwafaka wa kutoa huduma kwa wananchi.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































