#Local News

KOOME AONYA TUME YA ARDHI KUHUSU UADILIFU

Jaji Mkuu Martha Koome ameitaka Tume ya Kitaifa ya Ardhi kuzingatia uadilifu na uwazi katika utekelezaji wa majukumu yake.

Akizungumza wakati wa kuapishwa kwa makamishna wapya wa tume hiyo, Koome amesisitiza umuhimu wa uwajibikaji ili kujenga imani ya wananchi.

Wakati huo huo, makamishna wapya wa tume ya ardhi nchini wameapishwa rasmi kuanza kuhudumu katika majukumu yao.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *