#Football #Sports

EPL: MAN UNITED VS BOURNEMOUTH USIKU WA LEO.

Ligi kuu ya Uingereza inarejea usiku wa leo huku Manchester United wakisafiri Bournemouth katika mechi ya mkondo wa 31. United ambao wamekua na matokeo mazuri hivi karibuni wanatarajiwa kuendeleza fomu hiyo nzuri. Hapo kesho Brighton watakua wenyeji wa Liverpool huku Everton wakivaan na Chelsea kisha Fulham wapambane na Burnley.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *