#Local News

MZOZO WA UONGOZI KWENYE BODI YA NAIROBI HOSPITAL

Mkurugenzi wa chama cha madaktari nchini, KMA, Job Obwaka, ambaye pia ni mtaalamu wa afya ya wanawake katika Nairobi Hospital, na naibu mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo Samson Kinyanjui, wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo baada ya kukamatwa wikendi kuhusiana na makosa yasiyofahamika.

Wawili hao wamekesha katika kituo cha polisi cha Muthaiga, muungano wa madkatari nchini, KMPDU ukitishia kufanya maandamano hii leo iwapo hawatachiwa huru.

Haya yanajiri huku mgogoro ukiendelea kwenye bodi ya usimamizi wa hospitali hiyo.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *