#Local News

GACHAGUA ADAI SHA IKO MAGOTINI

Wizara ya afya imekanusha taarifa kwamba bima ya SHA itasambaratika ndani ya miezi 6 ijayo kutokana na mzigo wa madeni, jinsi ilivyoibuliwa na aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua.

Kwa mujibu wa Gachagua, ni wakati kwa hospitali za umma na za kibinafsi kudai malipo yao kutoka SHA kabla ya kutoa huduma kwa wagonjwa, akisema sekta ya afya itasambaratika pakubwa bima hiyo itakaposambaratika.

Hata hivyo, Waziri wa afya Aden Duale, ameyataja madai ya Gachagua kama kuwapotosha wamiliki wa hospitali.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA ADAI SHA IKO MAGOTINI

OYUU AWAONYA WANACHAMA WA KNUT

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *