#Local News

GACHAGUA AKOSOA UBOMOAJI GIKOMBA

Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amelaani ubomoaji uliofanyika usiku katika soko la Gikomba, akiutaja kuwa usio na utu, wa kikatili na unaolenga kuwadhulumu wafanyabiashara wadogo.

Akizungumza na wanahabari Jumanne, Machi 31, 2026, huko Makueni, Gachagua aliishutumu serikali kwa kupanga ubomoaji huo usiku, akisema hatua hiyo ni mateso kwa wananchi wanaojitafutia riziki.

Alidai kuwa maelfu ya wafanyabiashara walipoteza bidhaa zenye thamani ya mamilioni ya shilingi katika operesheni hiyo aliyoiita ya aibu iliyotekelezwa usiku.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

GACHAGUA AKOSOA UBOMOAJI GIKOMBA

KENYA YALIPA ADA YA AFCON

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *