KABURI LA PAMOJA: UCHUNGUZI HURU WASHINIKIZWA
Shinikizo zimeendelea kutolewa kwa taasisi huru kama vile mamlaka ya kutathmini utendakazi wa polisi, IPOA, na tume ya kitaifa ya haki za kibinadamu kuendesha uchunguzi huru ili kubaini iwapo kuna nia fiche kuhusiana na miili 32 iliyozikwa kwenye kaburi la pamoja katika kaunti ya Kericho.
Kulingana na wanaharakati ambao wamekita kambi eneo hilo, utata huo unaweza tu kukomeshwa kupitia uchunguzi huru.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































