#Football #Sports

MASAI ALENGA KUJIKOMBOA KATIKA PARIS MARATHON

Bingwa wa mbio za Toronto Marathon mwa ka 2019 Magdalyne Masai atalenga kuimarisha msimu wajke katika mashindano ya Paris Marathon itakayoandaliwa tarehe 12 baada ya kuanza mwaka vibaya.

Masai mwenye umri wa miaka 32, alianza kampeni yake tarehe 15 mwezi jana katika mashindano ya Barcelona Half Marathon, ambako alimaliza katika nafasi ya 5 kwa muda wa saa 1:07:42.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *