UHURU: MSICHEZE TENA NA MOTO!
Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amewatahadharisha wakazi wa eneo la Mlima Kenya dhidi ya kumpigia kura Rais William Ruto, akiwaonya dhidi ya kurejelea alichokitaja kuwa makosa ya mwaka wa 2022.
Uhuru aliyekuwa akizungumza katika hafla ya mazishi katika kaunti ya Kirinyaga, amewahimiza viongozi wa upinzani kuhakikisha umoja wa kitaifa.
Naye aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua, akidokeza uwezekano wa kushirikiana tena kisiasa na Uhuru.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































