#Local News

NYUFA ZAIDI ODM MIKUTANO SAMBAMBA IKIANDALIWA

Tofauti za kisiasa zimejitokeza zaidi ndani ya chama cha ODM baada ya makundi hasimu chamani humo ambayo ni Linda ground lake kinara Oburu Oginga na Linda Mwananchi la katibu mkuu Edwin Sifuna, kutangaza kuandaa mikutano sambamba ya kitaifa ya wajumbe mwezi huu.

Mrengo wa Sifuna umetangaza kwamba mkutano wao uliopewa jina la People’s National Delegates Convention, utawajumuisha wakenya walio na maono ya mageuzi ya uongozi wa kitaifa wa ODM.

Miongoni mwa viongozi hao ni gavana James Orengo, Seneta Godfrey Osotsi na wabunge Caleb Amisi, Babu Owino na Caroli Omondi wanaosema watasusia mkutano wa Oginga.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

NYUFA ZAIDI ODM MIKUTANO SAMBAMBA IKIANDALIWA

WAWILI WAKWAMA JENGONI WESTLANDS

NYUFA ZAIDI ODM MIKUTANO SAMBAMBA IKIANDALIWA

VYUO VIKUU VYAMEZWA NA MADENI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *