RUTO KUONGOZA JAMHURI

Rais WIlliam Ruto ameratibiwa kuliongoza taifa kwa maadhimisho ya 62 ya Jamhuri katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi, Msemaji wa serikali Isaac Mwaura, akiwahimiza wakenya kujitokoeza kwa wingi kuhudhuria maadhimisho hayo ya kila mwaka. Haya yanajiri huku muungano wa upinzani ukiikosoa serikali kwa kile walichotaja kama kurejesha nyuma hatua zilizopigwa kuhusiana na uongozi bora. Imetayarishwa […]

TSC: WALIMU TAYARI KWA MPITO

Walimu kote nchini wako tayari kwa mpito wa elimu kwa wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 baada ya matokeo ya gredi ya 9 KJSEA kutangazwa hapo jana. Haya ni kwa mujibu wa tume ya kuwaajiri walimu TSC, baada ya kukamilisha mafunzo kwa walimu watakaotoa mafunzo kwa wenzao kuhusu masomo ya gredi ya 10 yatakayoanza tarehe […]

WANAFUNZI WA GREDI YA 9 KUJIUNGA NA SENIOR SCHOOL

Waziri wa elimu Julius Ogamba ametoa hakikisho kuwa watahiniwa wote milioni 1.1 wa KJSEA mwaka huu watajiunga na sekondari kuu yaani senior school ambapo watawekwa katika mojawapo ya mikondo 3 ambayo ni Sanaa na michezo, sayansi za kijamii na Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati maarufu kama STEM. Kulingana na Ogamba, masomo kama vile sayansi jumuishi […]

WATAHINIWA WA KJSEA KUWEKWA MIKONDO 3

Watahiniwa wa mtihani wa gredi ya 9 KJSEA uliofanywa mwezi mmoja uliopita wanaendelea kupokea matokeo ya mtihani huo yaliyotangazwa hapo jana, bila shamrashamra jinsi ilivyokuwa mtihani wa KCPE uliofutiliwa mbali. Kwa mujibu wa Waziri wa elimu Julius Ogamba, asilimia 20 ya alama za watahiniwa kwenye mtihani huo ilichangiwa na tathmini ya gredi ya 6 KPSEA, […]

8 Proven Strategies to Maximize Your Real‑Money Bonuses at Genie Riches

8 Proven Strategies to Maximize Your Real‑Money Bonuses at Genie Riches Boosting your bankroll starts with the right bonus tactics. Online casinos offer many promotions, but only a few deliver real value. By following proven steps, you can turn a welcome offer into long‑term earnings. Below are eight actionable strategies that work especially well at […]

Gratis-Slots Play for Fun 100FreeSpins-Bonus

Viele seiner Wettbewerber haben ähnliche Funktionen und Techniken wie Slotomania übernommen, wie Sammlerstücke und Gruppenspiel. Social-Media-Plattformen sind zu immer beliebteren Zielen geworden, um kostenlose Online-Slots zu genießen. Viele Spieleentwickler haben Social-Casino-Apps gestartet, die es Spielern ermöglichen, die Walzen zu drehen und sich mit Freunden und anderen Gaming-Enthusiasten zu verbinden. Einer der besten Orte, um kostenlose […]

NTSA YAONYA KUHUSU MAJUKWAA YA ULAGHAI

Mamlaka ya Kitaifa ya Uchukuzi na Usalama barabarani (NTSA) imeonya umma kuhusu tovuti ghushi, Mverified, ambayo inatoa nakala za Rekodi za magari kwa uwongo na huduma za utafutaji kwenye daftari. NTSA imefafanua kuwa tovuti hiyo haihusiani na mamlaka hiyo na ikahimiza yeyote aliyelaghaiwa kuripoti katika kituo cha polisi kilicho karibu. Kufuatia ripoti,shirika hilo lilisisitiza kuwa […]

MAHAKAMA YASITISHA MAKUBALIANO TATA YA KENYA-MAREKANI

Mahakama kuu imetia breki utekelezaji wa mkataba wenye utata wa ushirikiano katika sekta ya afya uliotiwa Saini kati ya Kenya na Marekani, hadi kesi iliyowasilishwa na seneta wa Busia Okiya Omtata itakaposikilizwa na kuamuliwa. Kwenye uamuzi wake, jaji Lawrence Mugambi amewazuia washtakiwa kwenye kesi hiyo kutekeleza, kuanzisha matumizi ya sehemu yoyote ya mkataba huo unaohusisha […]

ARSENAL WADUMISHA REKODI UEFA

Noni Madueke alifunga mara 2 klabu yake ya Arsenal ilipopata ushindi wa magoli 3-0 ugenini dhidi ya Club Brugge, na kudumisha rekodi yao ya kutopoteza mechi katika ligi ya klabu bingwa bara Ulaya msimu huu. Arsenal sasa ndio timu ya pekee ambayo imefuzu awamu ya mwondoano kutokana na ushindi huo, ikiwa na pointi 18 katika […]

CITY WAWATOA MADRID RANGI

Manchester City walitoka nyuma na kutia madoa kwenye rangi nyeupe ya Real Madrid, kwa kuwapokeza kichapo cha magoli 2-1 ugani Santiago Barnabeu jijini Madrid katika kipute cha ligi ya klabu bingwa barani Ulaya. Kichapo hicho kimemwacha kocha mkuu wa Madrid Xabi Alonso katika njia panda kuhusiana na kibarua chake, ambacho huenda kikamponyoka muda wowote kutokana […]