#Football #Sports

ODADA AUNGA MKONO MAANDALIZI YA AFCON 2027

Kiungo wa Harambee Stars Richard Odada ameunga mkono maandalizi ya timu hiyo kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2027.

Odada amesema mazoezi ya kiwango cha juu yanayoendelea pamoja na uzoefu walioupata katika FIFA Series yatakuwa muhimu katika kuimarisha ushindani wa timu hiyo.

Kenya, ikiwa pamoja na Uganda na Tanzania, itakuwa mwenyeji wa mashindano hayo, huku kocha mkuu Benni McCarthy akilenga kuiwezesha timu hiyo kufika hatua ya mtoano.

Imetayarishwa na Cyrus Sifuna

ODADA AUNGA MKONO MAANDALIZI YA AFCON 2027

ZICO AREJEA POSTA RANGERS

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *