CHELSEA YATINGA SEMIFAINALI CARABAO CUP

Chelsea ililazimika kusubiri hadi kipindi cha pili kabla ya kuvunja safu ya ulinzi ya Cardiff City ili kufuzu semifainali za dimba la Carabao Cup jana usiku, kufuatia ushindi wa mabao 3-1. Cardiff walifanikiwa kuzima mashambulizi ya Chelsea kwenye kipindi cha kwanza, pia wakionyesha uwezo wa kuwafunga mabingwa hao wa dunia. Kocha mkuu wa The Blues […]

KPL YAPAMBA MOTO

Ushindani umeendelea kujitokeza katika ligi kuu ya soka ya wanaume KPL, jumla ya klabu 4 zikiwa kileleni kwa pointi 21 na kutenganishwa tu ubora wa mabao, huku nambari 5 na 6 wakiwa na pointi 20. Kwa sasa KCB FC iko kileleni kutokana na ubora wa mabao, kufuatia ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya APS Bomet […]

MATINEJA WA KENYA WAZIDI KUNG’AA ANGOLA

Idadi ya medali za taifa la Kenya katika michezo ya wanaspoti wa kati ya umri wa miaka 14-17 ya 2025 Africa Youth Games inayoendelea nchini Angola imepanda hadi 14, baada ya kikosi cha mchezo wa judo na fencing kujizolea medali 3 zaidi za shaba. Rael Kulova na harun Amin walishinda nishani 2 za shaba huku […]

DUALE AONYA MADAKTARI ‘KUILAGHAI’ SERIKALI

Serikali imewaonya madaktari dhidi ya kuendesha kliniki binafsi wakati ambapo wanafaa kuwahudumia wagonjwa katika hospitali za umma, ikisema vitendo hivyo havitavumiliwa tena. Akizungumza katika kaunti ya Tharaka Nithi, Waziri wa afya Aden Duale, amesema hatua hiyo imedhoofisha utoaji wa huduma za matibabu na kulemaza sekta ya afya. Ametaja hulka hizo kuwa kuhujumu mageuzi katika sekta […]

POLISI WACHUNGUZA VILIPUZI NYATIKE

Polisi katika kaunti ya Migori wanaendeleza uchunguzi kubaini wahusika walioweka vilipuzi 7 kwenye daraja la Nyatike kaunti hiyo, ambalo limeratibiwa kutumiwa na Rais William Ruto hii leo kwenye ziara yake kwenye kaunti hiyo. Kwa mujibu wa polisi, vilipuzi hivyo vinavyoaminika kuwekwa miezi kadhaa iliyopita, viligunduliwa na kikosi tangulizi cha usalama wa rais kabla ya kuondolewa […]

UPINZANI WASHINIKIZA MAJIBU KUHUSU KIFO CHA JIRONGO

Upasuaji wa maiti ya aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo unatarajiwa kufanywa leo ili kubaini chanzo cha kifo chake, huku idara ya upelelezi nayo ikianzisha uchunguzi katika ajali inayoripotiwa kumwangamiza mbunge huyo wa zamani. Maafisa wa idara hiyo wanachunguza kanda za video za CCTV kutoka kituo cha mafuta kwenye barabara ya Nairobi-Nakuru alikoingia kabla ya […]

SERIKALI KUANZISHA KAMPUNI ITAKAYOENDESHA MPANGO WA HAZINA SWF YA SHILINGI TRILIONI 5

Serikali itaanzisha kampuni mpya ya dhima ndogo ya kusimamia hazina yake ya utajiri ya Sh5 trilioni kufuatia idhini ya Baraza la Mawaziri, kuashiria mabadiliko makubwa katika jinsi Serikali inavyokusanya na kupeleka mtaji wa maendeleo wa muda mrefu. Kulingana na ujumbe wa Ikulu, Hazina ya Kitaifa ya Miundombinu itafanya kazi kama chombo kikuu cha kuoanisha rasilimali […]

WAFANYIKAZI KULIPA ZAIDI KWENYE HAZINA YA NSSF 2026

Wafanyikazi watalipa hadi shilingi 2,160 zaidi kwa Hazina ya Kitaifa ya Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuanzia Februari 2026, na hivyo kupunguza mapato yao ya ziada.Huu ni mwaka wa nne wa utekelezaji wa michango ya juu zaidi ya lazima ya NSSF, ambayo ilipanda kutoka Ksh200 hadi Ksh1,080 mwaka wa 2022 na kwa sasa inafikia shilingi 4,320. Kufuatia ripoti, wafanyikazi […]

10 Expert Tips for Live Betting Success This Summer at Plexian Casino 1

10 Expert Tips for Live Betting Success This Summer at Plexian Casino 1 Finding a trustworthy online casino can feel like searching for a needle in a haystack. That’s why many players start their research at Plexian. The site offers detailed reviews, side‑by‑side comparisons, and a clear rating system that saves you hours of scrolling. […]

UNITED, BOURNEMOUTH WARUSHA MISHALE

Klabu za Manchester United na Bournemouth zilionyesha mchezo wa kukata na shoka jana usiku, zikibadilishana uongozi na wakati mwingine kila timu ikilazimika kutoka nyuma ikisaka pointi 3, ila mwishowe, zikagawana pointi moja moja kwenye sare ya magoli 4 Old Trafford. Kipindi cha kwanza kilitamatika United wakiwa mbele 2-1 kupitia mabao ya Amad Diallo, Casemiro na […]