#Local News

RUTO ZIARANI ENEO LA GUSII

Ziara ya Rais William Ruto katika kaunti za Kisii na Nyamira inaingia siku ya pili hii leo huku Rais akiratibiwa kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo kwenye ziara yake ya siku 4 eneo hilo.

Tayari rais amezindua ukarabati na upanuzi wa uwanja wa michezo wa Kisii, akisema tayari mwanakandarasi na fedha zimetengwa kwa shughuli hiyo.

Aidha, Rais ameratibiwa kuzindua ujenzi wa uwanja mdogo wa ndege wa Suneka kaunti ya Kisii.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ZIARANI ENEO LA GUSII

WAUGUZI KNH KUANZA MGOMO

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *