#Local News

EPRA KUTANGAZA BEI YA MAFUTA JUMANNE

Wakenya wanasubiri kwa hamu kufahamu bei mpya za mafuta zitakazotangazwa hii leo na mamlaka ya kudhibiti kawi na petroli EPRA, huku serikali ikiwataka wakenya kuwa watulivu.

Akiwa mbele ya kamati ya bunge kuhusu kawi, Waziri wa kawi Opiyo Wandayi, amesema serikali imeagiza mafuta ya kutosha huku akiwaonya wamiliki wa vituo vya mafuta nchini dhidi ya kuficha mafuta kwa matarajio ya kuyauza kwa bei ghali.

Ameshikilia kuwa hatajiuzulu kutokana na Sakata ya uagizaji wa mafuta yasiyokidhi viwango. 

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *