#Local News

NYONG’O AONYA UHUNI UNAVURUGA UCHUMI

Gavana wa Kisumu Prof. Anyang Nyong’o amewaonya wanaojihusisha na matukio ya uhuni katika kaunti hiyo, akisema hatua yao inaiharibia jina kaunti ya Kisumu machoni pa wawekezaji.

Akiwahutubia wanahabari baada ya mkutano wa usalama, Nyong’o amewataka vijana kujitenga na wanasiasa wanaowatumia kutekeleza uhuni.

Ameitaka serikali kukomesha makundi ya wahalifu kaunti hiyo.

Imetayarishwa na An

NYONG’O AONYA UHUNI UNAVURUGA UCHUMI

RUTO: UDA-ODM BADO PAMOJA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *