KENYA YAONGEZA MEDALI AFRICAN YOUTH GAMES
Idadi ya medali za Kenya katika mashindano yanayoendelea ya wanamichezo wa umri wa kati ya miaka 14-17 African Youth Games nchini Angola imeendelea kupanda, baada ya timu ya riadha kutia fora kwa kushinda medali mbali mbali. Wesley Kiplagat alishinda nishani ya fedha katika mbio za mita 3,000 kwa wavulana, akiandikisha muda wa dakika 8, sekunde […]
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































