KINYANG’ANYIRO CHA KPL HAKINA MWENYEWE- WACHANGANUZI
Meneja wa zamani wa timu ya Harambee Stars Willis Waliaula, anaamini kwamba mshindi wa taji la ligi kuu ya soka nchini, KPL, msimu huu atafamika katika mechi za siku ya mwisho kati ya AFC Leopards na viongozi Gor Mahia.
Kulingana na mchanganuzi huyo, timu zote mbili zimeonyesha ari ya kuibuka mabingwa, na huenda mkondo wa pili wa Mashameji Derby ukaamua bingwa.
Amekiri kuwa kinyang’anyiro hicho ni kati ya timu hizo mbili.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 











































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































